Ninavyojua mim kwa uelewa wangu Mdogo mwanamke huwa anafundishwa kumpenda mwanaume na anayotendewa na mpz/ mchumba ake na badae anajikuta akimpenda coz ni MTU anayemfanya ayafurahie maisha.
Mytake mbona zaman mama zetu walikuwa wanaolewa na mwanaume picha? Au walikuwa hawayajui mapenz na mapenzi ndo tumeyajua Leo? Mungu amekuletea mume Dada angu mpende na kumtunza kama anavyokujal.