Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Hivi nikki mbishi ndio nikki wa pili? Binafsi, sijawahi ona msanii wa bongo, yaani miziki yoooye kuanzia taarabu, michiriku, mduara, ngwasuma, nk mwenye IQ ya juu kama Nikki wa Pili. Anaongea kwa hoja, anajibu maswali kwa hoja na yuko composed. Sijui kama huyo Nikki Mbishi ndo Nikki wa Pili, pia sijasikiliza hiyo interview ya Nikki Mbishi. Ila namkubali sana Nikki wa Pili.
nikki mbishi ana tatizo moja
anafanya hipop ya Kibifu muda wote
hasifii mapenzi,mazingira wala pesa
yaani mara nyingi ana mlenga mtu fulan alafu pia anaogopa kuonekana yupo chini ila sasa ndo kasema mziki haumlip
ana akili na kipaji lakini hakujaribu mengi katika huo huo mziki wa hipop
Nikki mbishi ndio msanii mwenye iq kubwa kuliko wote tanzania
ila interview ya leo sijaisikia
nikki amebeba mengi ndani ya nafsi yake na huenda leo alikuwa kakutana na adui wake kashindwa kupigana naye ni jambo la kutulia tutayajua mengi
Kumbe Mo11 ni mpima IQ!
Kumbe Mo11 ni mpima IQ!
Kwa jinsi alivyojibu interview yake kwenye Clouds, yani nimempa big up sana. Nimeamini ana utashi mkubwa sana na ndio maana kumbe ana uwezo wa kutunga mashairi. Mi kwa kweli nampa A...