MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Ni kubadili kipengele cha katiba kinachozuia Rais anayestaafu kushtakiwa Mahakamani na kuondoa kinga hiyo.Hatuwezi kuacha kiongozi yeyote atuvurugie nchi yetu kwa utashi wake na kuchia sisi matatizo na vizazi vijavyo, hili haliwezekani.
Nalisema hili nikiwa na akili timamu kabisa na kuliapia hilo, Mungu ndiye mpangaji wa mipango yote. Nchi yetu haina mfumo wa kifalme kwamba watawala watatoka familia flani tu, Urais ni mipango wa Mungu na ubunifu utakaotoka kwenye kichwa cha mwanadamu kwa msaada wake yeye.
Aliwahi kuzungumza haya humu ndugu yangu Deogratius Kisandu, sasa na mimi nimeanza kumwelewa alikua akimaanisha humu.