So watu walime pembezoni mwa Barabara..??Inàashiria hakuna shughuli za kilimo katika eneo usika ni wavivu Sana
Sijui wameacha kuomba2 hao wenye jiji laoInàashiria hakuna shughuli za kilimo katika eneo usika ni wavivu Sana
So watu walime pembezoni mwa Barabara..??
Bac SawaMhh!
Ndyoo kwan vbaya mbona moshi to Arusha wamelima pembezon?So watu walime pembezoni mwa Barabara..??
Wadau ukiwa wilayani chamwino njiani kuelekea dodoma unakutana na maua ya asili meupe yameota pembezoni mwa barabara kwa wingi sana,hivi haya yana matumizi gani? Kama bado hatujagundua hatuwezi kuyatafutia matumizi?
Yawezekana kuwa Mungu kayafanya yaote huko bila kuwa na matumizi?
Hebu tueleze humo ndani ya gari ulikuwa umekaa ukiangalia unakotoka au unakokwenda? au ulipiga bapa kabla ya kuanza safari? Kichwa cha habari tofauti na habari.Wadau ukiwa wilayani chamwino njiani kuelekea dodoma unakutana na maua ya asili meupe yameota pembezoni mwa barabara kwa wingi sana,hivi haya yana matumizi gani? Kama bado hatujagundua hatuwezi kuyatafutia matumizi?
Yawezekana kuwa Mungu kayafanya yaote huko bila kuwa na matumizi?
Haya Maua Huwa Yanaashiria Msimu Wa Mvua Kuisha Dodoma!
uwezo wako wakufikiri ndo umeishia hapo ??Ndyoo kwan vbaya mbona moshi to Arusha wamelima pembezon?