Shida jogoo halipandi mtungi mwingine zaidi ya huyo mamaSasa tukushauli kitu gani wakati huyo Mama ulimtongoza ukiwa na akiri zako Timamu
Hatari hii.Pole sana mkuu, usifanye uzembe maana kuna jamaa ameoa bado akawa na mchepuko yule mchepuka akamchezea jamaa.
Jamaa akiwa kwake haisimami akienda kwa mchepuko inasimama bahati mbaya jamaa katembea kwa watalaam bila mafanikio mwisho wa siku akawa
Msaada kwenye hii tiba..jamaangu naye hivyo hivyo.Huyo mama ni wa kichaga, msukuma (mtu wa kanda ya ziwa) au mpare.?! N'way kuna jamaa zangu wawili walipigwa kombora kama lako kwa nyakati tofauti. Haya mambo yetu vijana ya kutoa ahadi za "ntakuoa" basi mtoto wawatu anakaa na tumaini na kukuamini, Walikiona cha moto kila mmoja kwa wakati wake na mikoa tofauti ila kanda ya ziwa!
Naombeni ushauri wenu wadau, nina miaka kama mitatu nipo kwenye mahusiano na mama mmoja mwenye watoto wawili.
Natamani tuachane lakini nashindwa na kanambia lazima nitaishi nae hata kama sitaki. Sasa hivi nikitoka tu na mtu mwingine, jogoo hasimami mpaka yeye.
Embu nipatieni ushauri nifanyeje?
Feminist at your best.Hata hujalogwa umeathirika kisaikolojia, achana na huyo mwanamke pia uhuni sio deal