Kwani kuoa ni nini mkuuWasalaam? Hivi mtu ukitoa mahari unapangiwa na siku/tarehe ya kuoa au?
Maana nataka nilasimishe nitoe mahari nimchukue tuanze kuishi pamoja kuhusu ndoa nimepanga nitafunga baadae kidogo uko mbeleni.
Je, inawezekana?
Wasalaam? Hivi mtu ukitoa mahari unapangiwa na siku/tarehe ya kuoa au?
Maana nataka nilasimishe nitoe mahari nimchukue tuanze kuishi pamoja kuhusu ndoa nimepanga nitafunga baadae kidogo uko mbeleni.
Je, inawezekana?