mahari ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bei za mahari ambapo ukiambiwa zaidi ya hizi kwa kila sifa umeliwa uwe na hela au hauna hela

    Mahari ni desturi na utamaduni ambapo mwanamume hutoa zawadi au mali (kama vile pesa, mifugo, au vitu vya nyumbani) kwa familia ya mwanamke kama ishara ya heshima na shukrani wakati wa kuelekea kufunga ndoa. Sasa mahari isiyohusisha pesa inaweza thamanishwa na kile kinacho hitajika mfano...
  2. sir kiduku

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Binti wagoma kupokea Mahari

    Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa, Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nikitoa mahari kuna ulazima wa kuoa?

    Wasalaam? Hivi mtu ukitoa mahari unapangiwa na siku/tarehe ya kuoa au? Maana nataka nilasimishe nitoe mahari nimchukue tuanze kuishi pamoja kuhusu ndoa nimepanga nitafunga baadae kidogo uko mbeleni. Je, inawezekana?
  4. co fm

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuoa mke kwa bajeti ya Tsh. Milioni 1

    Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam. Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au mtu nimemweka ndani. Sasa kutokana na ubize wa kazi zangu na aina ya mwanamke ninaye muhitaji naona...
Back
Top Bottom