Mwanasiasa wote ni matumbo sana, wao kazi yao ni kuangalia wapi wanapata FEDHA NA MADARAKA TU... hawako kwa ajili ya wananchi, kazi kujijali matumbo yao na familia zao...!!
Atleast Mh. Rais wa sasa JPM.. anajali wananchi maskini... hawa wengine matumbo tu.. ikiwemo ww Mpendazoea, tumbo tu.. huna reputation kwa watu waelewa hata kidogo...!!
Mh. Magufuli ni mtu makini sana kupindukia.. hahongeki hata kidogo, hata umsifie ni bure, anakujua na MADARAKA HATA MWENYEKITI SERIKALI YA MTAA WA CCM HUPATI KITU...
Najua ulidhania ukirejea CCM utapewa madaraka fulani, hilo sahau..!!
Na njaa iko pale pale...
Salamu zao