Nikirudi patakuwa hapatoshi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikirudi patakuwa hapatoshi!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msnajo, Mar 22, 2011.

 1. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,459
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Wasalam wote. Naandika huu ujumbe nikiwa nimechoshwa na hali ilivyo tz. Hakuna anaejali zaidi ya kuropoka na kututisha! Huu uvumilivu wote ni wa nini na kwa faida ya nani. Haiwekani tuwe na utajiri wa rasilimali nyingi namna hii at the same time tunateseka namna hii. Umeme hauna uhakika watu wanafunga biashara huku wengine wakikosa ajiri kwa sababu ya uzembe wa watu wachache waliojilimbikizia mali wasiojua nini shida,hawajawaiona giza coz wana uwezo wa kununua genarator, madini wameuza kama watakavyo, hakuna maslahi ya umma. What is this and 4 what interest? Watz 2nalala sana, wenzetu mbona wameamua kuupinga utawala dhalimu waziwazi na wakafanikiwa kuutoa. Mtu mmoja aliwahi kusema ukimfukuza mbwa mwoga kwa lengo la kummua hua anachoka na kuanza kumshambulia yule anaemfukuza . Cc tumaridhika kama vile tuna kila kitu ili hali hatuna chochote. Majirani zetu wamejikomboa na hawana utajiri kama cc! Nimejichimbia nikirudi lazima tuhamasishane, ili mambo yawe kama wengi tunavyotaka . Natumaini waliochoka kama mimi wataniunga mkono.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  tuko katika hatua za mwisho za maandalizi .......tunakaribia kufanya uchaguzi tena....ukikawia sana utakuta tuna neema
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Baaaaaai
   
 4. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ama nchi usirudi tena
   
Loading...