kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 920 Sep 23, 2023 #1 Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo linaweza kutokana na simu kudumbukia kwenye maji? Tafadhali naomba kuwasilisha tafadhali. Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu, Simu yangu ni google pixel 5 kuanzia Jana mtu akinipigia inakata naomba msaada tafadhali maana nimeshaizima na kuiwasha pamoja na kuirestart bila mafanikio yoyote. Je hili tatizo linaweza kutokana na simu kudumbukia kwenye maji? Tafadhali naomba kuwasilisha tafadhali. Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,374 Reaction score 14,861 Sep 23, 2023 #2 Google pixel used zina matatizo sana
E eliudcoster New Member Joined Jan 10, 2022 Posts 3 Reaction score 1 Sep 23, 2023 #3 Duu weka boot system vizur
kukumsela JF-Expert Member Joined Oct 13, 2018 Posts 725 Reaction score 920 Sep 23, 2023 Thread starter #4 eliudcoster said: Duu weka boot system vizur Click to expand... Kivp Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
eliudcoster said: Duu weka boot system vizur Click to expand... Kivp Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,173 Reaction score 1,488 Sep 24, 2023 #5 Aliyekwambia nani
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,173 Reaction score 1,488 Sep 24, 2023 #6 Vesper-valens said: Google pixel used zina matatizo sana Click to expand... Aliyekwambia nani
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,374 Reaction score 14,861 Sep 25, 2023 #7 Mtukutu Mkuu said: Aliyekwambia nani Click to expand... We unasubir uambiwe? Kama ni hvyo ndo nakuambia hizo.simu hazifai kabisa
Mtukutu Mkuu said: Aliyekwambia nani Click to expand... We unasubir uambiwe? Kama ni hvyo ndo nakuambia hizo.simu hazifai kabisa