Ayatollah the Bird
Member
- Jul 30, 2026
- 93
- 223
Aliyeokoka na afunge nae ndoa sio kufanya uzinziMUNGU akutie nguvu upate mcha Mungu
kweli mkuu...Aliyeokoka na afunge nae ndoa sio kufanya uzinzi
Umejuaje ni mchristo au muamini Mungu?Aliyeokoka na afunge nae ndoa sio kufanya uzinzi
Usiangalie pisi kali tu pia unaongeza na kigezo hawe chini ya miaka ya 23, tufuate ushauri wa Natafuta AjiraNavimba saivI kishezI sana natembea sai na pisi mbovu mrad tu nipunguze mzigo. ila
Nikimiliki mapene lazima nitamiliki pisi ya kuheshimika.ee Mungu nisaidie kwa kila jambo.
Unawatafuta maneno wakina Fulani wa JAMII forum, mi simooo ππππππ€£Usiangalie pisi kali tu pia unaongeza na kigezo hawe chini ya miaka ya 23, tufuate ushauri wa Natafuta Ajira