Nikipata demu JF mtafaidi haya

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa nikipenda sana kusoma hizi post za JF na nafurahishwa na post za wengi kwani hunifanya nijisikie kama niko na marafiki wanaonipa raha.

Mara nyingi nimejikuta nikipitisha hata siku 3 kwa sababu tu sina mtu anayenikumbusha wala kutambua uwepo wangu napokuwa JF hasa katika ukurasa huu ulojaa vimbwanga.Pia nmekuwa nikishindwa kuanzisha mada nyingi kutokana na kutokuwa na marafiki humu.

Ombi langu labda wazee wazoefu kama Aspirin na wengine mnipe rafiki wa kike ambaye atanifanya niwe nammmis na kuja JF kila mara ili niweze kumjulia hali na kumuonyesha mapenzi yangu ya dhati ya KISUKUMA.

Atakapokuwa kapatikana mtegemee post tamu na nzuri ktk jukwaa hili.

Tafadhari comment zenye matusi ktk thread hii hazitajenga.....kama huna la kuchangia endelea kufuatilia mjadala wa UKAWA na CCM.Au fuatilia kujua kesi ya IMTU imefikia wapi
 
Ombi langu labda wazee wazoefu kama Aspirin na wengine mnipe mchumba ambaye atanifanya niwe nammmis na kuja JF kila mara ili niweze kumjulia hali na kumuonyesha mapenzi yangu ya dhati ya KISUKUMA.

What's wrong with you? Your game ain't tight....?
 
demu maana yake nini:majani7::majani7:
 
jaman nimetaka rafiki wa kunikumbusha kuingia mara kwa mara JF na sio mchepuko? ahaaaa
 
Rutashobolwa akana ndo nini?
 
Last edited by a moderator:
Rutashobolwa akana ndo nini?
 
Last edited by a moderator:
Whaaatt hehee hilo jina rafiki nipo hapa ehee niwe nakubip saaa ngapi??
 
Mkuu mleta mada,unajua unadai rushwa hivihivi,just a mere joke!Ila nasubiri stori zako tamutamu ukifanikiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…