Nikiogopa uzee usinicheke

Ndo manake wengine wana meno yote 32 lakin kutwa kanuna kwa stress.. Chaaaaaaaa[emoji12]

Yeye ni mfano wa kuigwa.

Aliyekupa nundu, atakupatia pia uwezo wa kuibeba nundu hiyo.

Kwa raha zake.Jino moja linamtosha...
 
ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah hahahahahahahahahahahahha UZEE NOMA
 
It is ok. Meno yote ya mbele yalikatika ila kuna dentist toka Spain amenireconstruct huwezi amini nilipoteza meno. Tatizo hayana nguvu kama yangu. Hawa wazee ni sigara na tumbaku na kula vyakula vya wanga bila kupiga mswaki kabla ya kulala. utamaduni huu hatunana ndo unatuponza. Piga mswaki kila baada ya chakula na kabla ya kwenda kulala!!!! Kama huna dawa chemsha karafuu iwe dawa yako.
 
Temea mate pengine. Nilipata ajali, sina jino hata moja na bado si mzee. Namshukuru Mme wangu kwa kunijali na kuniwezesha/
[emoji26] [emoji26] [emoji17] [emoji17] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144]
 
😳 πŸ˜€ πŸ™ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…