Nikinywa maziwa, tumbo linaniuma sana

Rweza79

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
207
47
Dokta naomba kujua ni kwa nn nikinywa maziwa freshi au mgando, mara baada ya muda mchache tumbo linanikata sana na hatimaye ni kuharisha vibaya sana. Naomba kujua hilo.
 
Kuna kitu kama sikosei kwenye maziwa kinaitwa Lactose na baadhi ya watu wanakuwa na matatizo wakinywa maziwa hasa ya kuumwa sana na tumbo pamoja na kuharisha, jaribu kusoma zaidi na kutafiti kuhusu hiyo Lactose kwenye maziwa au jaribu kwanza kununua maziwa yasiyo na Lactose (lactose free) kama uko Dar jaribu Shoprite nafikiri unaweza kupata au kwenye Duka la dawa kubwa kama la Mlimani City, jaribu halafu uone kama kutakuwa na tofauti!

Mimi sio Daktari nina uzoefu tu kidogo na hivyo vitu!
 
Dokta naomba kujua ni kwa nn nikinywa maziwa freshi au mgando, mara baada ya muda mchache tumbo linanikata sana na hatimaye ni kuharisha vibaya sana. Naomba kujua hilo.
Mother nature hatak unywe mazi
wa-waachie watoto -lactose dehydrogenese inakwisha umri unavyosonga mara nying kuanzia miez 6 kuendelea-ndugu kuna vyakula vingi vizur zaid ya maziwa-pole sana
 
Dokta naomba kujua ni kwa nn nikinywa maziwa freshi au mgando, mara baada ya muda mchache tumbo linanikata sana na hatimaye ni kuharisha vibaya sana. Naomba kujua hilo.

utakuwa na minyooo mingi tumboni, watafute forever products wana dawa za kusafisha tumbo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom