Nikinyonya denda tumbo linasumbua

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,006
306
Jamani naombeni msaada wenu,

Mimi nikila denda kwa msichana wangu lazima asubuhi niamke tumbo linasumbua sana mithili ya mtu aliyevimbiwa au kama limejaa gesi.

Sijajua tatizo nini, kwa anayejua naomba msaada wake.
 
Back
Top Bottom