Nikimpenda tu, hatudumu

Hmmmm! unampenda mtu halafu kwa kuwa unaogopa kuachwa basi wewe unakuwa wa kwanza kufanya hivyo. Hata hivyo bado unaumia vinginevyo usingekuja humu kuanzisha huu uzi. Usiogope kuachwa unapompenda mtu na ni kweli ukiachwa au ukiacha unaumia sana hasa kama ulimpenda muhusika, lakini huna sababu ya kutumia woga wako wa kuachwa kufanya hivyo ufanyavyo maana unaweza kuwa unawaacha ambao walikuwa na nia njema nawe.

hua naogopa wao wasje kunacha maana nackiaga ni maumiv makal ukiachwa na umpendae
 
kwa hyo unananshaur niwe nafanyaje badala ya kuwaacha
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…