Nikimpenda tu, hatudumu

Oooh yeah beby mama....you know what you've gat a problem!!! this ain't a joke...

Kuna kijana nnampenda sana na pia tumeshibana mno kiasi kwamba hua tunapiga stori za hapa na pale. Ila nnetokea kunpenda sana ila nikitaka kumwambia ulimi unakua mzito nashindwa kuongea chochote.

Msaada tafadhali nifanyeje ili kuutuliza moyo wangu
 
Mimi pia. Mahusiano yangu mengi hayalast. Ila personally i feel like i don owe them nikiwaacha. Relationships to me have always just been a bridge to physical intermacy. Nikiizoea k Tu basi. Never really thought ya picha kubwa. Guess I'm on my high horse
 
unampenda mtu halafu unamuacha? ?????
kwanini unamuacha sasa na wakati unampenda ? au unapenda vimeo havibebeki?
kitandani ziro
wallet negative
future uncertain
sura ya mamba etc

Khaaaaaaa huna jemaa?
 
Kumbe be by sketch mama post zako za kutunga majuzi tu umetafuta ushauri namna ya kumpata mtu umpendaye kumbe mzoefu
 
Hao wanaume huwapendi bali wana vigezo ulivyojiwekea unavyotaka mwanaume awe navyo, kwa hiyo unavutiwa kuwa nao

Husipende kuwatendea wengine kitu ambacho hutopenda utendewe

Ukipenda hutotaka kumkimbia mtu
 
Hao wanaume huwapendi bali wana vigezo ulivyojiwekea unavyotaka mwanaume awe navyo, kwa hiyo unavutiwa kuwa nao

Husipende kuwatendea wengine kitu ambacho hutopenda utendewe

Ukipenda hutotaka kumkimbia mtu
cwez kumpenda mwanaume mwenye sura kama nyuma ya frij kisa pesa hata kidog, huyo ntadumu naye sabab ya pesa lkn so kwamba nampenda. hivyo cjawah kupenda nchope huwa nawapenda wenye mvuto ila sasa cdumu nao nawah kuwaacha ndo nahitaji msaada nifanyeje ili nidumu na yule nnae mpenda???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…