Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
sasa unawadate wa nini kama unajua watakuacha? hamkai mkaweka mipango mezani?Kama nna tatizo je, nitalitatuaje? maana nackiaga ukiachwa na umpendae huwa unapata donda ndugu kwahyo mm hua najiwah kabla cjalipata sabab naogopa maumiv ya map**nz nackiaga ni machungu eti!
nnakua cna hofu wala wac wac wa kuachwa, pili unakuta wallet inasoma vizur. Hivyo npo kimaclah zaid, huwa cjali sura wala umri. Tatizo ni kwa yule nnae mpenda kuna vigezo mpaka kumpenda na wallet sio lazma ila sidumu naye hua namkacha mapema sanaNajiuliza swali inakuwaje unadumu naye na haumpendi/ hayupo moyoni mwako?
okoka kisha muombe Mungu atakupa mwenza wa maisha, hauta jutu kamwe..Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.
Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plznitazingatia
Kuachwa kupo siyo lazma ukamwacha/ukaachwa na asye /ucye kupenda /mpenda, ila mm hua namwacha yule nnae mpenda ili acje kuniacha yeye nkajikuta nakua miongon mwa walio umizwa.sasa unawadate wa nini kama unajua watakuacha? hamkai mkaweka mipango mezani?
uyo atakuwa ni jini mahaba huwa hawatakigiki uwe na mahusiano na mtu hasa kwa kuwa na mapenzi ya dhati huwa wanakuwa na wivu sana ndomana hufanya hila za kuhakikisha udumu naye a muhimu fanya maombi kwa mungu wako ili akuvue ulionayo maana lasivyo utakuwa mtu wa kubadilisha ..
pole sana kwa hilo ila ongeza juhudi katika kumuomba mungu
nnakua cna hofu wala wac wac wa kuachwa, pili unakuta wallet inasoma vizur. Hivyo npo kimaclah zaid, huwa cjali sura wala umri. Tatizo ni kwa yule nnae mpenda kuna vigezo mpaka kumpenda na wallet sio lazma ila sidumu naye hua namkacha mapema sana
usidhani mzaha ili tatizo hata mimi nilikuwa nalo kwambaia kwa uzoefu nilikuwa nikimpenda tu bint sikai nae ila yule ambae atanipenda alafu nikawa simpendi basi ntadumu nae (haya madubwana yapo na yanaharibu sana maisha ya watu na kuyafanya yawe chini juu juu chini
Labda mie ndo zipo ambazo so typ zangu sabab me mtoto mtoto nmeumbika kwel kwel nahv nlivyo finyangwa wikend ndo ucsemeHao unaowapenda sio type yako Dada na hao usiowapenda ndio type yako sema hujajua tu unalazimisha kupendwa na hao ambao sio type yako badilika aisee
Basi una gundu wewe,nenda kafanyiwe maombi.cjawah kuachwa hata mara moja
Kuna tatizo linanisumbua na sijui nilitatue vipi, tatizo langu ni kudumu kwa muda mrefu kwenye mahusiano na mwanaume ambaye simpendi /hayupo moyoni mwangu.
Ikitokea NIKIMPENDA tu! siwezi kudumu naye tena lazima nimuache muda mfupi tu, nikikaa naye sana sizidishi miezi 6. Sijui tatizo langu lipo wapi ushauri wenu plznitazingatia
endapo cmpend atanioa na tutadumu tatizo ni kwa yule nnae mpenda ndio nahitaji msaada wenu nifanyeje ili tudumuUtaolewa kweli wewe??!!
gundu sina kwa sabab cjawah kuachwaBasi una gundu wewe,nenda kafanyiwe maombi.
Kandarasi ndo nn mkuuila mnakuwa mshafanya kandarasi