Nikimpata wangu (Kumbe naota)

Nikimpata wangu (Kumbe naota)

Wazo Langu

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
1,381
Reaction score
842
Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa.

Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri.

Weekend moja moja tunatoka sisi wawili tunaendesha gari tunaenda popote. Tunaenda tunaenda tunaendaaa hadi tukichoka kuendesha tunapaki hapo tunapita story tunahesabu magari tunakua tumepumzika halafu tunageuza taratibu. Tukifika mbelemble tunatafuta mahali pa kulala tunachukua chumba tunalala hapohapo.

Siku nyingine tunaenda shambani mbali tunakaa huko kuhesabu maembe na kuku tunapiga mapicha.
Nyie nilichokuwa nakiwaza jamani. Mapenzi matamu nyie

Tunakaa kwenye kochi mume wangu amekaa mimi nakaa chini nimemuegemea magotini tunaangalia movies hapo nimevaa kinguo kidogo naye amezaa nguo za kushawishi.

Siku ingine tunaangalia album ya harusi na picha zetu za zamani. Jamani nyie kumbe mambo ni raha hivi.

Nina hasira hapa, niacheni tu
 
"Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto."

"Tunakaa kwenye kochi mume wangu amekaa mimi nakaa chini nimemuegemea magotini tunaangalia movies hapo nimevaa kinguo kidogo naye amezaa nguo za kushawishi."

SIJAELEWA WEWE NI MKE AU MUME?
 
Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa.

Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri.

Weekend moja moja tunatoka sisi wawili tunaendesha gari tunaenda popote. Tunaenda tunaenda tunaendaaa hadi tukichoka kuendesha tunapaki hapo tunapita story tunahesabu magari tunakua tumepumzika halafu tunageuza taratibu. Tukifika mbelemble tunatafuta mahali pa kulala tunachukua chumba tunalala hapohapo.

Siku nyingine tunaenda shambani mbali tunakaa huko kuhesabu maembe na kuku tunapiga mapicha.
Nyie nilichokuwa nakiwaza jamani. Mapenzi matamu nyie

Tunakaa kwenye kochi mume wangu amekaa mimi nakaa chini nimemuegemea magotini tunaangalia movies hapo nimevaa kinguo kidogo naye amezaa nguo za kushawishi.

Siku ingine tunaangalia album ya harusi na picha zetu za zamani. Jamani nyie kumbe mambo ni raha hivi.

Nina hasira hapa, niacheni tu
Fantasy 😎
 
Ukiachana na bia kiburudisho kingine ni akili za wanawake sio binadamu tu angalia hata wanyama na wadudu kama mende mawazo yao ni kama haya 😂😂😂
 
Siku ingine tunaangalia album ya harusi na picha zetu za zamani. Jamani nyie kumbe mambo ni raha hivi.

Nina hasira hapa, niacheni tu

Una hasira za nin mkuu
 
Back
Top Bottom