Komenti yangu ishamaliza..Kwa hiyo wewe ni yeyote tu mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele
Kama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye..
Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye..
Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
Chura ni wajibu wako kulitengeneza
Toa ushauri Lizzy. Tufanyeje sasa kwa sababu mambo haya ni magumu sanaMnachagua weeeee na bado mnaishia kupata koroma![]()







Huku kwetu mbona wamezagaa sana yaani sio jambo la kusitaabisha
Hivi kati ya chura og na za mchina kwenye matumizi kuna ladha tofauti???