Nikilala na mwanamke mpya jogoo hapandi mtungi

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Jamani wana JF, habari za jamvi... nlipotea kidogo!!

Bwana katika zunguka zunguka yangu kijiweni juzi, nikakaa na mdau mmoja akanipa live kwamba huwa kila akijaribu kufanya mapenzi na mwanamke ambaye wanakutana kwa mara ya kwanza kimwili hasimamishi.. au atapata taabu sana kupata japo raundi moja!! Mh! katika kuchunguza zaidi, mmoja akaniambia ni kweli kabisa, tena yeye ilibidi asitumie condom siku hiyo maana kila akitaka kuivaa tu kitu kinashuka mithili ya ile miba fulani kule kijijini ukiigusa tu inanywea!!

Nikaendelea na uchunguzi.. mwingine akaniambia tena siku hiyo kajiandaa kweli kweli kakusanya njaa ya mwezi mzima kufika Hola, akaulizwa tatizo nini, kimya!! Akajielezea -ooh mbona nikiwa na demu wangu napiga kazi sana, akajibiwa 'ungekuja nae'...hahaha!

Nacheka kwa maana wote hao kwa madem zao wako poa vibaaya mno kiasi kwamba akiingia chumbani tu ngoma inakamua 90 degrees!! Jamani, hili tatizo lipoo? Ni saikolojia tu au kuna mengine?

Ni hilo tu kwanza kwa leo
 
Hiyo ni stress au "performance anxiety" kama unasimama na demu wa kila siku basi hakuna tatizo physically tatizo lipo kichwani kwako. Next time jaribu foreplay kwa wingi ili upate kurelax kwanza.
 
Oa mwanamke utulie, ukiendelea kuwa mzinzi na muasherati, itafika kipindi itanyauka na haitasimama tena. hapo utalia na kusaga meno. Mungu anakuangalia tu unapofanya yote hayo....
 
Hiyo mkuu,inawatokea watu wengi sana,haimaanishi kuwa mwanamke wa awali kakuloga au nux nk,ina maana alikuwa ndio target ya upendo wako ktk kila hali,pia inaweza kuwa ulikuwa nae sambamba kwa muda mrefu bila kum-change.NOW anapotokea Mwanamke mpya brain yako inapigwa butwaa(Whatz da shitz goin on?)na Jogoo kilasiku husikiliza akili na macho vime-sence nini,cause vyote vimezoea mmanamke tofauti,wa awali.Kama hujajibika mpaka hapo it means mkuu ulikamata mzigo mbovu tuuuu(Low quulity) compered 2 that u had before,thatz all.
 
huo mtego demu wako kakufanyia.......mambo ya mjini.......kuna mwenzako aliiingia vizuri lakini laligongwa na nyoka huko ndani sa sijui huyo nyoka aliingia kunako ya mwanamke............
 
Anapaswa amshukuru Mungu.....labda kuna jambo anamuepusha nalo (magonjwa n.k)........anapaswa atulie na msichana wake.......aache uzinzi
 
Kaka hizo si ishu za kushangaa, madume kibao tunalo hilo tatizo, mi kwangu si kwa kiasi cha kutosimamisha ila napata bao la kwanza fasta,kuliko ilivyo kwa demu niliyemzoea.Hizi ni psychological issues tu na kama unataka uone kama ni hizo omba game tena au kabla ya game ya kwanza pata maji ya ilala kama chupa 4 hivi kutoa uoga na kujenga kujiamini uone kama hilo game hutapiga kama kawa.
 
Ebu tumepata majibu ya swali la mkuu na yataendelea kuja, Hivi akina dada nyie nanyi mnapatwa na shauri hili au nyie moto mdundo?
 
Hiyo ni Tiba nzuri kupunguza uzinzi ..

1st lady, anatakiwa kuacha kabisa. kama alishawahi kumpiga chini mwanamke akamwumiza moyo, akamwendea bagamoyo/tanga/sumbawanga, atajiju....au pengine wamemuwekea libwata hadi amechoka, kuna wanawake wengi tu uswahilini wanatembeza dawa za vijiti kuweka kunako kwaajili ya mambo mbalimbali, wengine wanataka dawa za masai, wengine wanaenda kwa mganga kabisa kufanyiwa kitu chochote kwaajili ya mwanamme wanayempenda, sasa kama walishamzindika huko halafu wameachana hakuna aliyezindua, ataipatapata. dawa kukimbilia church tu akaombewe basi.
 
Watu wazima wameshasema hapa! TAKE NOTE!

Mkuu, huyu jamaa nae ananishangaza.....sasa kama haisimami ya nini kuchukua wanawake sasa!! Si awe anashughulika na huyo huyo wake wa kila siku? Ona sasa hadi anakwenda peku....akapime kwanza!!!
 
Mkuu, huyu jamaa nae ananishangaza.....sasa kama haisimami ya nini kuchukua wanawake sasa!! Si awe anashughulika na huyo huyo wake wa kila siku? Ona sasa hadi anakwenda peku....akapime kwanza!!!

Mkuu ndio maana nikasema kunana busara na hekima nyingi kwenye maushauri tunayompatia! Kazi kwake

Mkuu how iz you lakini?
 
huo mtego demu wako kakufanyia.......mambo ya mjini.......kuna mwenzako aliiingia vizuri lakini laligongwa na nyoka huko ndani sa sijui huyo nyoka aliingia kunako ya mwanamke............

nasikia zingine huwa zinakuwa na short kama ya umeme. Ukisogeza mtarimbo tu, spark ya nguvu inatokea.
better to stick with the one you love most.
 
kuwa karibu na wakubwa utajua ya wakubwa, kumbe kuna mambo kama hayo?
 
1.inawezekana ni stress.
2.pia kuna uwezekano wa nguvu za giza zinafanya kazi.
3.Mpapase kichwani kama ana pini au sindano iondoe,mambo yatakuwa safi?
eeeeeh ivi umesema ni mkeo eeeeh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom