Nikikukamata!!!!

Nikikukamata!!!!

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Hivi huyu jamaa anayefukuzwa na mbuni atakuwa anafanana na nani humu JF?
 

Attachments

  • mbuni.jpg
    mbuni.jpg
    51.6 KB · Views: 157
Yani huyo Ostrich ni kama anasema, ole wako nikukamate unagusa mayai yangu ww huna yako!
 
Naona kama ameishamsamehe hebu angalia huo mdomo kama anasema pumbavu mkubwa bahati yako leo ghaa!
 
Nani huyo tena mbona kingamuzi changu hakingamui hiyo link?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom