Ni vzr uwaone Urologist mapemaMkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Niliwahi kuambiwa kama unapata hamu ya kukojoa, ukienda unastrain mkojo unachelewa then unatoka after kuacha kustrain then ukimaliza unahc hujamaliza kukojoa na unapata terminal dribbling hizo ni dalili za prostate enlargement, inaweza kuwa benign prostate hyperplasia or prostate cancer ambayo yenyewe inaambatana na lower back pain depends na stage, urethra stricture ukistrain mkojo unatoka pia inakuwepo hyo terminal dribbling sometimes kunakuwa na blood in urine, ni vzr kuwaona wataalamu ili uangalie psa level na pia pia ufanye urethrogram plus KUB.Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Nenda hospital ukapimwe au ukaingiziwe dole la kati huko nyuma lazima utabainika una tezi dume.Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Ok ila mkojo unatoka kama kawaida hauchelewi ila hata unapoona umeisha kuna mwingine uwa unabakia hata kama sio mwingiMkuu pole sana na hilo ttz..kuna tabibu mmoja iv wa tiba asilia na hasa ilo la mkojo..na ashatibia watu weng na si hilo.hadi ttzo la kukuojoa kutumia mpira kuna dawa ana kupatia ukitumia mambo safi..ngoja pakuche nikutafutie namba yke afu ntakuletea hapa uumtafute mwenyewe na anapatikana morogoro mjin..
Afu weweDaaah pole sana mkuu
Tatizo kubwa hapo inaweza kuwa ni misuli husika kukosa nguvu kutosha kusukuma mkojo, yaani hilo ni la kwanza. Lingine linaweza kuwa maambukizi njia ya mkojo, la mwisho ni dalili za mwanzo za TEZI DUME.Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
achana na kienyeji wewe nenda hospitali kwanza.Ok mkuu ila nianze hosptal kwanz kuangalia ushauri huo wa tezi dume
PoleMkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Mzee acha ngono na wake za watu. Dusherere hilo litakatika unaliona!Mkuu shida mkojo nikikojoa hauishi moja kwa moja kuna matone yatakuja baada ya kukunguta yanachafua nguo pia nikiingia bafu naweza kujoa nifikap hila baadae kidogo nikusukuma tena unatoka kama kikombe cha kahawa au nusu umri wangu 40 tatizo hili sasa mwaka 4 sijawai kutafta matibabu
Sio kuwa unakojoa tu hapana ukimaliza kukojoa kunabkia matone yanachafua nguo au kama unaoga unaweza kusukuma tena ukatoka mkojo ambao sio mwingi sana Wakati mwanzoni ulisukuma ukaishaPole Sana mkuu!
Lakini Mkuu wasije wakawa wameshakushughulikia kimila! Katembee tembee mkuu!!!