Nikikataa hii mimba nitakua na kosa?

Hivi kama hamuwezi kulea mimba na hamko tayari kupata watoto kwanini hamtumii condom wanaume mnatia aibu kwakweli kukutana nae mara moja na yeye kupata mimba sio sababu kwani wew hukujua kama unakutana nae peku mnaboa sana nyie viumbe
Kwanini unaondoa uwajibikaji kwa mwanamke???? Kwani angeamua yeye bila ndom hamna mechi kuna tukio lingetokea...Jitaidi kuwaza nje ya mawazo yako utagundua hili jambo ni kizungumkuti.....
 
Kwanini unaondoa uwajibikaji kwa mwanamke???? Kwani angeamua yeye bila ndom hamna mechi kuna tukio lingetokea...Jitaidi kuwaza nje ya mawazo yako utagundua hili jambo ni kizungumkuti.....
Inàwezekana alisema hivyo lakini akalaghaiwa kwa Maneno matamu na akatoa mtanange,,nasikitika bado kuna wanawake hawajajua kwamba wanaume wanapokua katika erection kichwa kikubwa huacha kufanya kazi na badala yake mawazo na akili vyote huamia kwenye kichwa kidogo
 
Hivi kama hamuwezi kulea mimba na hamko tayari kupata watoto kwanini hamtumii condom wanaume mnatia aibu kwakweli kukutana nae mara moja na yeye kupata mimba sio sababu kwani wew hukujua kama unakutana nae peku mnaboa sana nyie viumbe
Naona unawashambulia sana wanaume, ila unashindwa kukubali hata wanawake nao ni wapumbavuu zaidi kama huyo anaeongelewa kwenye mada. Kwanini usijichukue taadhari wewe mwanamke kabla ajakuingilia bila condom?

Sitaki kuamini nyie mmekuwa ma sex dolls kwamba Hamna maamuzi linapokuja suala la sex
 
mkuu hio avatar yako kabla ya kuizoom, sijui naionajeonaje! [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mwanaume mpumb.avu kama Nabali, kwani hukusema wewe hayo maneno? Ulisema mwenyewe akatoe sasa unacholalamika ni nini wakati huyo mtoto tayari humtaki unaona hastahili hata kuzaliwa.
Ukimkataa na ikawa ni damu yako unajipandia laana mwenyewe, hukujua kulala na mtu bila kondomu kunasababisha mimba?
Unapofanya kitu au kuongea maneno ukiwa mtu mzima ujue kuwajibika, ujue kama maneno huwa yanatembea so usiwe wa kuropoka kwa ubinafsi wako.
 
Hutu tutoto tufukuzwe humu kila siku tunawafunfisha matumizi ya condom .hamsikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…