Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Kawaambia mwenyewe, hawanijui wala hawajawahi kuniona.Miezi miwili tu na wazazi wameshakujua? Blaza upunguzage hiyo speed mzee
Nimesema hapo awali kua sikukubali wala kukataa, sasa nakataa jumla.Uende kumuona mtoto wa nini wakati tangu mwanzo hukutaka azaliwe. Wewe ungeishia tu kukataa kuwa si yako kama ni kweli una uhakika sio yako. Kitendo cha kuonyesha kuwa unataka mimba itolewe hakikuwa sahihi
Vizuri na ukatae siku zote sio baadae unakaona katoto kazuri kanafanana na wewe unajipelekapeleka!Nimesema hapo awali kua sikukubali wala kukataa, sasa nakataa jumla.
Wewe unasema "Kuwaambia wazazi wake kua mimi nimetaka mimba itolewe was a fatal mistake". Naomba nikuulize swali moja, Je, kitendo cha wewe kumshauri huyo binti atoe hiyo mimba tutakiitaje?Wanawake wengine kua single parent hua wanataka wenyewe.
Huyu binti toka nimefahamiana nae hata miezi 2 haijaisha, nimetoka nae mara moja tu.
Ghafla juzi ananiambia ana mimba ya wiki 2, nikashindwa kukataa au kukubali ila nawaza kuikataa.
Nikamshauri akaitoe (yeah, akatoe mimba), akaniambia atanipa jibu, baadae akamwambia mama yake kua nimempa mimba na nimemshauri akaitoe, mama yake akasema isiitoe italea mwenyewe mtoto.
Kuwaambia wazazi wake kua mimi nimetaka mimba itolewe was a fatal mistake, hata kama hakua tayari kuitoa hakupaswa kuwaambia wazazi wake, najiuliza hivi ikitokea mtoto akazaliwa nikaenda kumuona wazazi wake watanionaje, watanichukuliaje, mtoto atakua akiambiwa kua baba yako(kama kweli ni mimi) alitaka mimba yako itolewe, yani kuanzia sasa mahusiano yangu na huyo mtoto mtarajiwa yako ruined.
Uamuzi wangu, naikataa hii mimba once and for good.
Well saidna wewe tukikuita muuaji tutakosea?? YAANI UNAMSHAURI KABISA AITOE MIMBA? HUYO MTOTO AMBAE MNATAKA MKAMTUPE ANA HATIA GANI?
Hutoi mimba kwa sababu mtoto ana hatia, unatoa mimba kwa sababu iko unplanned.na wewe tukikuita muuaji tutakosea?? YAANI UNAMSHAURI KABISA AITOE MIMBA? HUYO MTOTO AMBAE MNATAKA MKAMTUPE ANA HATIA GANI?
Huyo binti ni tatizoKawaambia mwenyewe, hawanijui wala hawajawahi kuniona.
The best thing you can do is damage control. Habari zimeshafika kwa wazazi so tayari ni damage. So what next is kumkaliaha chini huyo dem wako ili asiendelee ku spill siri zenu nyingine.Wanawake wengine kua single parent hua wanataka wenyewe huyu binti toka nimefahamiana nae hata miezi 2 haijaisha, nimetoka nae mara moja tu ghafla juzi ananiambia ana mimba ya wiki 2, nikashindwa kukataa au kukubali ila nawaza kuikataa.