Nikifulia usingizi hauji katu !

Tuko tofauti sana

Mimi nikiwa na pesa nataka kila kitu yaani nahisi kuwashwa washwa plus tamaa za kingese

Ila nikawa sina kitu kwanza nakuwa mpole pili kazi za watu nafanya viziru haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…