Nikifanya hivi ntakua nimekosea sana?

Nikifanya hivi ntakua nimekosea sana?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Unashda sana na milioni kama 7 hv upge busnes. Unaomba mchango kwa ndugu,jamaa na marafiki,wanakutosa. Uktangaza ndoa utachangiwa hata m.15. Sasa ukifake ndoa ukakusanya hzo hela ukaenda kufanyia biashara utakua umekosea sana na hautosamehewa?
 
Utakuwa huna tofauti na tapeli mwingine yeyote.
 
Wachangishe mkuu,arafu waambie unaenda kuowa mkoani na hutaki sherehe yeyote,ukimaliza unawaambia mkeo anaishi hukohuko mkoani
 
SIN is simply a violation of purpose.

Unapokiuka kusudi halali unakuwa umekosea mkuu. Ukimuomba mtu hela ya kuolea, akakupa kwa kusudi la kuolea then wewe ukaichakachua kufanyia kitu kingine nje ya hicho unakuwa umefungwa nia kwa hilo mkuu. Ila kama umefanya kitu kusapoti hilo tukio au ukabana matumizi hela ikabaki, Kiko ni kitu kingine Mkuu.

Back
Top Bottom