yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,128
Naiweka sahihi kabisaItakuwa unakosea format ya namba ya mtihani!!! hakikisha unaiweka jinsi ilivyoelekezwa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimekwamaMatatizo ya kimtandao hata mi ilikua inagoma hivyo hivyo baadae ikakubali na nimeapply vyuo vitano bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ata mm pia nna tatzo kama hiloAisee nimekwama. Siku mbili sasa. Na pesa nshalipa. NACTE hawapokei simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahitaj mawasiliano yako, kwan ata mm pia ni mhanga wa iyo kituNamfanyia dogo application ya diploma kupitia NACTE. Napoingia index number ya form six inakuja message hii :
Error! Provided Index/ Registration number and examination / graduation year not found in our data base.
Hapa nafanyaje wadau? Kila nikipiga NACTE namba zao hazipatikani.
Dogo kamaliza form six 2017.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa NACTE hawako serious. Tunafanyaje sasa mkuu.Mkuu nahitaj mawasiliano yako, kwan ata mm pia ni mhanga wa iyo kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko ww ulifanikiwaje mkuuMsijali hela haipotei hata mimi nilipata tatizo kama hilo lakini baada ya muda nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan cm hawapokei na namba zngne hazpatikan kabxa, mkuu njoo pm 2chonge vzr kwanza
Wewe ulifanyaje mpaka kufanikiwa?Msijali hela haipotei hata mimi nilipata tatizo kama hilo lakini baada ya muda nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
NshakujaYaan cm hawapokei na namba zngne hazpatikan kabxa, mkuu njoo pm 2chonge vzr kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda moja Kwa moja chuoni kajaze form kama mtandao unagomaNamfanyia dogo application ya diploma kupitia NACTE. Napoingia index number ya form six inakuja message hii :
Error! Provided Index/ Registration number and examination / graduation year not found in our data base.
Hapa nafanyaje wadau? Kila nikipiga NACTE namba zao hazipatikani.
Dogo kamaliza form six 2017.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Ngoja tuzidi kujaribuMi nilikua nawapigia hawapokei lakini nikiwa najaribu mara mara nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app