Nikifa nizikeni Masaki

Nikifa nizikeni Masaki

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
11046331_402873519897174_8739859094243121952_n.jpg
 
Kwa nini unasema ukifa uzikwe masaki?????????
 
Ha ha ha Bujibuji lol.. Ni kurahishiwa au..? Maana naona kama macho yanamtoka vileee..
 
Last edited by a moderator:
Hapo gari likifunga breki ya ghafla tutamsahau
 
Duu inabidi basi angetengenezewa maelezo ya kisukuma ya uvaaji wa mkanda!
 
ha haha ha haha jamaa zangu hawa .. huwa nikaaga nao safi sana wanatoa maelezo kwa nukta hadi unachoka kusikiliza
 
na alivyotoa macho naamini na n'nya ishapita...
 
wasukuma ni mwisho jamani,wakianza kuongea hapa kwa nahau za kisela za kisukuma utavunjika mbavu
 
Nikiwa hai sijaishi Masaki, nikifa nataka nikaishi huko

Bahati mbaya hakuna makaburi Masaki Bujibuji.. Makaburi ya Kinondoni yameshajaa, watu wamewahi nafasi.. Yamebaki makaburi ya Mburahati.. Uko radhi uzikwe hapo..?
 
Last edited by a moderator:
at least mwenzenu kafunga mkanda, jiulize ni wangapi Tanzania wanafunga mikanda? :thinking:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom