Kibwebwe
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 826
- 265
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty CD! Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nmecmama kuepuka kelele za godoro pale nnapo jigeuza, na wakat mwngne nina swich off TV, ndipo naangalia. yan huwa cpend kabsa kelele vp wenzangu mkichoka huwa mnafanyaje?