Aggy Da prince
Member
- Jul 26, 2017
- 43
- 12
Aggy apo tatzo litakuwepo kama ile email ya kwanza ndiyo iliyotumika kwenye aplicationyaani zile form kama ulizirdisha chuoni bila kubadili email kwani majibu yako yataenda kwenye email ambayo IPO kwenye zile formNaombeni kuuliza jamani et Kama umefanya application mwez wa tano pale kweny profile yako ukibadilisha email tofauti naile uliyotumia kipindi naanza application kuna Tatizo? Nilifanya application ya diploma sasa email niliyotumia kipindi kile nimebadilisha nimeweka nyingne naombeni msaada jamani nijue
Sent using Jamii Forums mobile app
Je nikiirudisha tena hio email ya mwanzo kunatatizo? Maana niliapply kupitia mtandaoni nacteAggy apo tatzo litakuwepo kama ile email ya kwanza ndiyo iliyotumika kwenye aplicationyaani zile form kama ulizirdisha chuoni bila kubadili email kwani majibu yako yataenda kwenye email ambayo IPO kwenye zile form
Sent using Jamii Forums mobile app
unge reset password ila sio kubadilisha email yakoIle nilotumia nilisahau password yake nikafungua email nyingne ndo nikabadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye email yako ya zamani Γ±a kuingia kwenye forget password itakupa option ya kupata password mpyaNaombeni kuuliza jamani et Kama umefanya application mwez wa tano pale kweny profile yako ukibadilisha email tofauti naile uliyotumia kipindi naanza application kuna Tatizo? Nilifanya application ya diploma sasa email niliyotumia kipindi kile nimebadilisha nimeweka nyingne naombeni msaada jamani nijue
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko hata nikirudisha ile ya mwanzo email hakuna shidaKama umesahau password bora ufanye utaratibu wa kuomba ubadirishe password ila email ibaki ile ile. Kwenye maombi wanasisitiza usibadirishe _ communication zote zinapitia kwa email uloijaza
Aiseee dunia kuna vijimamboUkibadili barua pepe hakuna tatizo...ila ukibadili jinsia ndo kuna tatizo....ππ