Nikeli

bishontongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
239
Reaction score
223
Naitaji mme ila kulingana wanaume wengi upenda kulelewa hapana nimeshindwa.
 
Pole sana Dada wenzako wanatafuta hata hao wakuwalea hawapati
 
Hebu ngoja kwanza....

*Nikeli...
*Naitaji...
*upenda...
*sio kwa wito uwo...

Aisee una lafudhi mbaya kama jina lako...!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
usiogope mkuu hii itakuwa ni kula kwa kina mwananke
 
Mkuu ungesubili kwanza MBEGE ikakata kichwani ndo ukashusha UZI wako hapa jamvini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…