Nikawa nakutafuta nikupeleke

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,884
Reaction score
113,364
Kweli wanafunzi wa sasa amnazo kabisa.....
 

Attachments

  • 1431972952400.jpg
    44.9 KB · Views: 1,013
Msamehe bure, akikua atajua tofauti kati ya lakes na boobies!.:teeth:
 
Hana adabu,kimo hicho anasema hayo?,Kuna tatizo mahari hususani malezi yake..
 
Dogo hana kosa kabisa ni kosa la mwalimu unapofundisha neno lenye maana zaidi ya moja kwa mtoto lazima umuelezee maana zote kisha endelea na ile unayotaka wewe. Huyo kaacha kunyonya juzijuzi tu hivyo anajua ziwa ni nyonyo na pia atokako labda hakuna maziwa anayomaanisha mwalimu.
 
Angekuwa enzi za mwalimu wangu aliyenifundisha mbona dogo angetoka makalio yanawaka moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…