Nikaushe au nimsamehe? Ushauri wako muhimu

Jiandae, akikifanyia hivi kabla ya ndoa,
Atakukalia Kooni baada ya ndoa. Atakupa mawazo tele mbele ya safari .Muache kabla hujafanya nae maamuzi ya ndoa. Utanishukuru baadae... nilipitia humo humo...
Hii ni power game ambayo ina madhara ya kiafya. Itakuja fika muda utapendelea kukaa Na marafiki nje ukifikiria arguments nyumbani.
Maamuzi Ni sasa kabla ya majuto
Sawa sawa mkuu
 
Habari wakuu

Nina mpenzi wangu tuna mahusiano zaidi ya mwaka lakini haipiti week mbili bila kugombana

Yaani lazima tuu tugombane na visirani sana tena sana , unaweza ukampigia simu hapokei au anakata unatumia message hajibu au akakujibu kwa kuchelewa. Sasa kuna kipindi juzi juzi hapa nikatumia message ya nikamuambia tuachane simhitaji akasema poa.

Akaaanza kutuma status maneno ya vijembe, akamueleza mshikaji wamgu mshakaji akaniomba niomuone kumbe yuko na demu wangu kufika pale mshikaji akanikalisha chini akadai shemeji kamuambia nimemuacha sasa nikamuambia amekuambia sababu z mm kumwacha akasema ndio.

Nikamwambia jamaa ni kweli memuacha simtaki
Demu aliangua kilio cha nguvu na kuanza kuniomba msamaha kalia saana nikaondoka nikamuambia nitamjibu.

Sasa wakuu kutokana na huyu mwanamke kuwa na visirani vya mara kwa mara nimekua na mahusiana wanawake tofauti tofauti.

Nimasemehe au niendelee na msimamo wangu?
Mkikua mtaacha hayo mnayofanya.
Halafu mtu akitaka kukuacha akuambii yaan ni Mazoea yanapunguzwa mdogomdogo mpk mnasahauliana sasa wewe unamuacha unampa tangazo [emoji2][emoji848]
broh ebu tafuta hela kwanza
Usipende kujieleza kwa mwanamke Ebooh [emoji2]
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
TAFUTA HELA
Acha muda na wakati sahihi useme juu yako katika mahusiano ili upunguze tangazo ukitaka kumuacha mtu
 
Habari wakuu

Nina mpenzi wangu tuna mahusiano zaidi ya mwaka lakini haipiti week mbili bila kugombana

Yaani lazima tuu tugombane na visirani sana tena sana , unaweza ukampigia simu hapokei au anakata unatumia message hajibu au akakujibu kwa kuchelewa. Sasa kuna kipindi juzi juzi hapa nikatumia message ya nikamuambia tuachane simhitaji akasema poa.

Akaaanza kutuma status maneno ya vijembe, akamueleza mshikaji wamgu mshakaji akaniomba niomuone kumbe yuko na demu wangu kufika pale mshikaji akanikalisha chini akadai shemeji kamuambia nimemuacha sasa nikamuambia amekuambia sababu z mm kumwacha akasema ndio.

Nikamwambia jamaa ni kweli memuacha simtaki
Demu aliangua kilio cha nguvu na kuanza kuniomba msamaha kalia saana nikaondoka nikamuambia nitamjibu.

Sasa wakuu kutokana na huyu mwanamke kuwa na visirani vya mara kwa mara nimekua na mahusiana wanawake tofauti tofauti.

Nimasemehe au niendelee na msimamo wangu?
Kataa mahusiano
 
Back
Top Bottom