Nikaribisheni

Karibu sana jukwaani, Chizi Msomi! Tunafurahi kukuona umejiunga nasi. Haha, usishangae na utani wa majina, hapa ni kawaida tu na ishara ya kukupokea kwa mikono miwili. Jisikie huru kushiriki nasi na kujifunza kutoka kwa wengine. Kila la heri Chizi!
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Karibu sana JamiiForums...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…