Nimesoma mpaka machozi yananitoka!!
Mbona hata Nyimbo zina Remix na kuna wanaokopi na kupesti jamani? mie sijaiona bhana
Hii stori imenitoa machozi...
Mbona hii story ni ya Mtambuzi? Au umechange jina vile umezaliwa leo?
Nadhani utakuwa mrithi sahihi wa shigongo. Bado shehe yahaya hussein.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwangu mimi hata iwe ya kokopi na kukopoa it doesn't matter, kwanza sikuwai kuisoma huko nyuma wala kusimuliwa na mtu.Yaani in short its a very touching story mwacheni Mungu aitwe Mungu, santekalesa.
Dah! hii story yako imenigusa sana...Hongera sana kwa uamuzi wako wa haraka wa kumsaidia kijana mpaka ameweza kusimama kwa miguu yake mwenyewe. Nakubaliana nawe Kijana Siame ni mwanao kabisa.
Kuna vitu vinatokea hapa duniani wakati mwingine vinakuacha mdomo wazi na kukushangaza sana na huwezi kupata jibu la kuridhisha imekuwajekuwaje.
Ubarikiwe sana
Mimi si mtoa machozi hovyo hata katika misiba lakini the way this thread nilivyoisoma nimemwaga chozi. Eeeh Mungu nisaidie nami kama nimewahi kuahidi kufanya kitu basi nitekeleze......Amen.
Mbona mwnywe kshasema c yke, hta kma imeshawekwa kuna wngne hatujaiona, litle angel story nzuri sana