Nikama soko la mahusiano, mapenzi na ndoa huko duniani limepungua sana

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,934
Reaction score
8,151
Ndugu.

Kataa ndoa kuna namna kama wameshinda hii vita pamoja na ile vita ya single maza.

Huko duniani kila nikiangaza huku na huko sioni tena pear pear zikiongozana na kwenye maboma huko kusikia mtu ana oa na kuolewa ni mtihani sana.

Wanawake wapo wenyewe wenyewe huku wanaume na wao wapo wenyewe wenyewe na mbaya zaidi wanajazana magetoni jinsia moja na siyo jinsia mbili tofauti kuziona zikiwa pamoja na katoto kao

Hali ni mbaya sana huku, sijui huko kwenu hali ipoje ndugu zangu.

Nb. Watu wamekata tamaa kuoa kabisa na wanawake wameishia kua single maza huku wakirandaranda huku na huko kutafuta mwanaume aliyekaa vibaya abebeshwe mzigo wa bure.

..HUKO KWENU HALI IPOJE WAKUU?
 
Siku za mwishomwisho wanawake 7 watamshika mtu mume mmoja na kusema;
Tutajinunulia chakula na kuvaa mavazi yetu lakini tunaomba tuitwe kwa jina lako.

Siku hizi wanawake wenye hela zao wanakosa dudu tu na wapo tayari kugharamikia kumlisha mwanaume, kumtatulia matatizo yake lakini tu awe anaupiga mzigo vizuri.... Uchumi na nguvu za kiume ndio vitu vinafanya kila mtu aongee lugha yake
 
Divine order wants a man to lead and provide, a woman to follow and trust. Tulivyolazimisha hizi sera za usawa wa kijinsia ilikua ni lazima msingi wa mahusiano/ndoa uanguke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…