Nijuzwe chanzo cha mgogoro baina ya NORTH &SOUTH KOREAN

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Wajuzi wa mambo mm n mtoto wa juzi tuu hapa 1994 naomba kujuzwa nn hasa chanzo cha kutoelewana baina ya Korea kusini na kaskazini na uhasama huu ulianza lini?

NOTE: Kama hujisikii kujibu kaa kimya Dharau n kejeri SIPENDI
 
Ukisikia Uhasama wa kimaslahi ndio huo. South ni allies wa Marekani na washirika wake wakati North ni allies wa China na Urusi. Kinachogomba ni kiburi cha nani ana silaha hatari. Na hapa kinachofanyika ni jeuri ya Mrusi kumtumia North kutaka Kuwatishia majirani zake.
 
Hizi zilikuwa nchi moja. Baada ya ufalme wa joseon baadae wakaita Korean empire kuanguka Japan wakaunga nchi na kuwa sehemu ya Japan hivyo Korea ikawa koloni la Japan.

Kuibuka kwa vita kuku vya pili vya dunia kulisababisha Japan kupokea kichapo, USSR ambayo ilishawahi kupigwa na Japan ilitangaza kuivamia Japan kutokea Manchuria.
General aliekuwa anasimamia Japan upande wa kaskazini akasalimu amri kuepusha vita, hivyo USSR wakawa washachukua hiyo sehemu na kuanza kuenenza Siasa za ukominist kuelekea kusini.

Kuhofia kuenea kwa Siasa za ukomunist USA na mwenyewe wakaivamia Korea upande wa kusini na wakaeka mpaka sehemu ambayo USSR haipaswi kuvuka. Upande wa kusini ukawa unafuata ubepari.

Swala hili nilikuwa linaonekana ni la muda mfupi kwamba pande mbili zote zitaunganishwa baada ya mazungumzo.

Kutokana na USSR kutaka nchi itawaliwe kwa itikadi za kikomunisti huku USA wakitaka ubepari makubariano yalishindikana na mgawanyiko ndio ukazidi kuwa.
Hali hii pia ilisababisha pia kutokea kwa vita vya Korea 1950-1953.
Kwa Maelezo ya zaidi you can google it.
 
Jamaa umetisha sana, hiii ni kweli kabisa mkuu. Hoya ume Google website gani?.

Na apo inavyooonekana ugomvi ukianza autaisha mapema mapema
 
Tafuta kitabu kinachoitwa history of Korea inaanza Korea ya zamani mpaka ya sasa. Wikipedia pia kuna Maelezo mazuri, encyclopedia Britannica na yenyewe ina Maelezo mazuri tu.
 
Hizi zilikuwa nchi moja. Baada ya ufalme wa joseon baadae wakaita Korean empire kuanguka Japan wakaunga nchi na kuwa sehemu ya Japan hivyo Korea ikawa koloni la Japan.

Kuibuka kwa vita kuku vya pili vya dunia kulisababisha Japan kupokea kichapo, USSR ambayo ilishawahi kupigwa na Japan ilitangaza kuivamia Japan kutokea Manchuria.
General aliekuwa anasimamia Japan upande wa kaskazini akasalimu amri kuepusha vita, hivyo USSR wakawa washachukua hiyo sehemu na kuanza kuenenza Siasa za ukominist kuelekea kusini.

Kuhofia kuenea kwa Siasa za ukomunist USA na mwenyewe wakaivamia Korea upande wa kusini na wakaeka mpaka sehemu ambayo USSR haipaswi kuvuka. Upande wa kusini ukawa unafuata ubepari.

Swala hili nilikuwa linaonekana ni la muda mfupi kwamba pande mbili zote zitaunganishwa baada ya mazungumzo.

Kutokana na USSR kutaka nchi itawaliwe kwa itikadi za kikomunisti huku USA wakitaka ubepari makubariano yalishindikana na mgawanyiko ndio ukazidi kuwa.
Hali hii pia ilisababisha pia kutokea kwa vita vya Korea 1950-1953.
Kwa Maelezo ya zaidi you can google it.
Mkuu asante
 
Jecha anajua sana kua Maalim Seif ni Rais wa Zanzibar ila wakubwa wake walimkataza.....Tuje kwenye hoja yako Hakuna tatizo LA dhahiri kati ya US na NK zaidi ya wivu wa like walionao waMarekani.....Kulingana na Specified Documents kutoka KGB ni kua US anataka kua Mtawala wa Kidunia na ili awe hivyo ni lazima kwa kila namna aweze kua juu zaidi ya yeyote yule kijeshi,kiuchumi na Kiteknolojia.....Kiuchumi ameweza kufanikiwa japo China anampumulia kwa nyuma kwa kasi..Kiteknolojia ameweza kua juu kwan Taifa la US limeweza kukusanya vichwa yani watu wenye IQ zao Duniani kote mfano Israel,Iran,Russia,Germany,Canada na nchi mbalimbali na kuwapa uraia utakumbuka mvumbuzi wa APPLE aliefariki kwa cancer ni Msiria ila alipewa uraia marekan kwa minajiri hiyo US kwa karne iliyopita aliweza kua juu Kiteknolojia japo kwasasa Nchi nyingi zimeanza Ku take off technologically so ameanza kua na ofu na amekua akitumia UN km chombo kurudisha nyuma jitiada za mataifa ayo kwa kupitisha Sanctions au vikwazo mfano IRan, Russia,North Korea nk nk ili ziyumbe nabkushindwa kuendela na miradi yao......Kijeshi US bila wasi wasi imekua juu kibajeti japo vita sio bajeti pekee inayo determine ushindi kuna swala zima la Quantitative and Qualitative military gears or weapon and man power...kulingana na bajeti ya US zaidi ya Dola Bilioni 600 uku ya Northkorea ni Dola Bil 3 Unaweza pata picha apo....So Mgogoro mkubwa wa US wala sio Korea ya kaskazini wala Iran kwani hao ni wadogo sana kwa US sema mataifa ayo km yakiungana na China na Russia ambayo US ni adui zake namba moja....US anafanya kila namna kuzikontain Russia na China ndo maana anazizunguka kwa kujenga military bases kwenye nchi jirani za US na China na Iran.....NorthKorea sio member wa nuclear Treaty na ajasaini na haruusiwi kua na silaha hizo lakini kwa kesi kama hiyo Pakistan na India na Israel nao hawajasaini na hawajawekewa vikwazo vyovyote na ili US akupige ni pale utakapokua dhaifu bila kua na silaha za kinyuklia.....Tusitegemee Vita yoyote ile katika Peninsula ya Korea kwani NorthKorea ni Nuclear state na anazo zaidi ya 30 na Bomu moja tu ni habari nyingine.....Russia ndo anaongoza akifuatiwa na US kwakuwa na Nuclear war heads nyingi ambazo zinaweza kufuta Dunia nzima...Hivyo hakuna mgogoro wa maana zaidi ya US kuweka hofu ili aendelee kuzikalia Japan na Korea kusini lengo likiwa ni China na Russia maana wanapakana zano..Na la mwisho ni ideology ya ukomunist ambao US/EU wanaona nikikwazo kwao
 
Back
Top Bottom