Hakuna pin hapo,labda unamaanisha IP address ila pia configuration zinatofautiana kulingana na aina ya simu,kama ni smartphone au la.. ni simu gani iyo?
Hakuna pin hapo,labda unamaanisha IP address ila pia configuration zinatofautiana kulingana na aina ya simu,kama ni smartphone au la.. ni simu gani iyo?
Zote nimejaribu lakini bado imekataa, nimejaribu mara nyingi kadri iwezekanavyo kuwasiliana na customer lakini siwapati kabisa, simu inaishia call ended
Touch Menu.
Touch Settings.
Touch Wireless & networks.
Touch Mobile networks.
Touch Access Point Names.
Touch Menu
Add new APN
Weka name yoyote
Weka Internet kwenye APN