Nijuze kuhusu Nissan Terrano

Nijuze kuhusu Nissan Terrano

bigmash

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
416
Reaction score
422
Wadau,

Vipi hii ndinga NIssan Terrano kwa wanayoifahamu performance yake barabarani, uimara wa gari yenyewe, spare zake upatikanaji wake na kadhalika, kwa wale wajuzi wa magari maana Kuna mtu anataka kuniuzia japo bado sijaamua. Hi ni ya petrol engine.
 
Back
Top Bottom