Nijulishen nursery nzuri kwa watoto miaka 2-3

cr9

Senior Member
Oct 13, 2010
185
102
Wanajamvi naomba kujulishwa shule ya awali ya kumpeleka mtoto wa miaka kati ya 2-3

mtoto anaishi maenoeo ya tegeta na itapendeza kama atapata shule maeneo ya karibu .
 
Mkuu nenda Goshen Bunju A pale shule ya Mpare mmoja anaitwa Mrutu its a good School na wana magari ya kubeba watoto ukifika Bunju kama watoka town ingia kushoto barabara ya vumbi you will get to the school
 
Back
Top Bottom