Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,022
Uliingiza mpaka ndani kabisa!? Hapana hiyo sio yakoHabari Mwanamke alikuja kwangu akakaa kama wik mbli i then akaanza kuingia katika siku zake alipomaliza nikasex kwenye dangerous day je alipopata mimba.
Je mimba itakuwa ni yangu.!?
😅😅😅😅 una nini lakini wewe?Uliingiza mpaka ndani kabisa!?
Anapata vizuri kama mzunguko wake ni mfupi...mfano mieTulia uandike vizuri tukuelewe. Akimaliza bleeding mkasex hawezi pata mimba
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] una nini lakini wewe?
Hata sikusoma vizuri bandiko lake, nilikuwa high high. Nilihisi amemaanisha sex Just after period kukataAnapata vizuri kama mzunguko wake ni mfupi...mfano mie
Ok mkuuHata sikusoma vizuri bandiko lake, nilikuwa high high. Nilihisi amemaanisha sex Just after period kukata
Ujinga mtupu tukujibu nini na wewe jina lako linajieleza wewe ni nani?Habari Mwanamke alikuja kwangu akakaa kama wiki mbili then akaanza kuingia katika siku zake alipomaliza nikasex kwenye dangerous day. Je, alipopata mimba itakuwa ni yangu?
Kwa hiyo unapata mimba mara kwa mara?Anapata vizuri kama mzunguko wake ni mfupi...mfano mie
😳makubwa!Kwa hiyo unapata mimba mara kwa mara?
Nakaziajina la ID yako na maudhui yanaendana
Ni vyema kutufahamisha, ulijuaje hiyo ni dangerous day kwake kwanza?Habari Mwanamke alikuja kwangu akakaa kama wiki mbili then akaanza kuingia katika siku zake alipomaliza nikasex kwenye dangerous day. Je, alipopata mimba itakuwa ni yangu?
Ujinga mtupu.Habari Mwanamke alikuja kwangu akakaa kama wiki mbili then akaanza kuingia katika siku zake alipomaliza nikasex kwenye dangerous day. Je, alipopata mimba itakuwa ni yangu?