technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,692 Reaction score 58,733 Oct 5, 2026 #1 Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you Your browser is not able to display this video.
Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you Your browser is not able to display this video.
Ndombwindo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2013 Posts 1,843 Reaction score 2,996 Oct 5, 2026 #2 Hhhahahahahaha..... Msafara wa mamba na kenge wamo.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,440 Reaction score 286,723 Oct 5, 2026 #3 Aibu sana
Excel VBA JF-Expert Member Joined Oct 27, 2025 Posts 905 Reaction score 2,063 Oct 5, 2026 #4 aisee ni hatari
The Family Wallet JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 5,644 Reaction score 9,263 Oct 5, 2026 #5 Maendeleo sio kipaumbele cha serikali ya ccm
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 7,530 Reaction score 21,690 Oct 5, 2026 #6 Watawala waliokosa maono .. unategemea jipya gani kutoka kwao?
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 11,949 Reaction score 26,963 Oct 5, 2026 #7 Waislamu hatutaki Vyuo wala hospital tunataka Masjid. Sijui nani ameturoga.
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,782 Reaction score 5,258 Oct 6, 2026 #8 Ndombwindo said: Hhhahahahahaha..... Msafara wa mamba na kenge wamo. Click to expand... Kwa hiyo kenge ni watu maskini?
Ndombwindo said: Hhhahahahahaha..... Msafara wa mamba na kenge wamo. Click to expand... Kwa hiyo kenge ni watu maskini?
Izato JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 5,403 Reaction score 11,582 Oct 6, 2026 #9 technically said: Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you View attachment 3684694 Click to expand... Gharama ya huo msikiti inajengwa hospitali ya kisasa pale Arusha! Kweli kupanga ni kuchagua.
technically said: Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you View attachment 3684694 Click to expand... Gharama ya huo msikiti inajengwa hospitali ya kisasa pale Arusha! Kweli kupanga ni kuchagua.
A akili mwili mzima JF-Expert Member Joined Nov 13, 2025 Posts 2,418 Reaction score 5,127 Oct 6, 2026 #10 Eti msikiti kwa ajili ya utalii, matusi kwa waislam haya!.