Niite Nikupikie

Faida ya kumuita mpishi aje kwako kukupikia,
Kwanza unaona usafi wake,
Pili unaweka vitu uvipendavyo wewe katika chakula chako nazungumzia spices sababu wewe ndio unanunua,
Tatu ni ruksa kukaa kumuangalia anavyopika na ukajikuta umejifunza pishi flani lililokua linakutatiza,
Nne na tano ongezea.

Kwa wale ambao bado sijawahudumia mimi sifanyi kazi peke yangu nipo na crew yangu wa watu watano kwa hiyo huduma ni ya haraka na ya uhakika.
 
wewe utakuwa una mgahawa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tutumie hata picha ya vyakula tuamasike na bila kusahau ya kwako ili tuhamsike zaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…