NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,571
Habari za uzima wakurugenzi nafikiri mpo poa na wanaojisikia vibaya na waliopata na majanga Basi mungu awape wepesi.
[emoji117]Twende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, nahitaji mwenyekujua website nzuri nikajifunze programing.
[emoji117]Hata Kama Kuna mtu Ana tutorials Anazo Basi tusaidiane nitampa pesa ya maji yakunywa[emoji120]