Nihurumie Asuu wangu, iwapo nimekukosea

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,051
Reaction score
36,809
Wanawake na vijana wa siku hizi, huwa mnaombaje msahaha kwa wapenzi / wenza wenu. Njooni mnipe mbinu zenu mpya za 2025.

Sisi mabinti wa zamani, ukiona umekosea unatafuta kale kanight dress kako kepesi unakavaa halafu unafunga kitenge juu. Akirudi toka kazini anakuta umempikia chakula chake pendwa.
Wajomba zenu walikua wanapenda kuangalia taarifa ya habari kila usiku, unampakulia chakula halafu unakaa na wewe kwenye kochi kitenge unapandisha juu kidogo anaona paja kwa mbali na ule mtelezo wa night dress.

Ukisimama kutoa vyombo, kitenge chako ulichokilegeza kinaanguka bahati mbaya, inabaki nightdress tu na hauna pichu ndani. Basi unainama mbele yake, unakiokota halafu unakifunga tena juu ya kifua unamtolea vyombo, unaenda jikoni.

Dakika si chache utasikia, mama fulani naenda kulala, hauji?
Hapo, kwisha habari yake, msamaha uliobaki unaombea kifuani huku anagugumia kama beberu.



Haya wadada na vijana, na nyie tuambieni siku hizi mnafanyaje?
 
Wadada wa JF, njooni mtie neno
CC:
nakwede97 ⋆ Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 ⋆ Atoto * Demi * Binti Sayuni03
Sister Abigail ⋆ Ms R * Nusratt
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye * cocastic
Msweet ⋆ Chujio * Palina
cocochanel * Anastasia21 * Nesi kungwi
ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Numbisa ⋆ Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley * Anita Makirita
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt



*************
Mpwa Nomadix , nimemiss nini humu ndani?
 
Uzito wa kosa na aina ya msamaha ni vitu vya kuzingatia......


NB:Kuna mbinu ukitumia utawapa bure gharama ndugu zako kukodi ma-coasterπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Aliniletea kitimoto ya kuoka,vile kufungua tu nikapata ile harufu nzuri nikajikuta nimeachia tabasamu panaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
SECRETARY
Aliniletea kitimoto ya kuoka,vile kufungua tu nikapata ile harufu nzuri nikajikuta nimeachia tabasamu panaπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Mimi akiniletea nyama ya mbuzi na wine ninazozipenda. Nikipata ile harufu tu lazima nicalm down kidogo πŸ˜‚
 
Mimi unichiti wazi wazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu unizungushie taarabu sebuleni wallahi serikali watajuta kunikabidhi hili chuma laoπŸ˜‚πŸ˜‚
Vile nimecheka πŸ˜‚ hayo makosa makubwa makubwa, maombi ya msamaha wake yanakuwaga mkubwa pia.

Mfano mie anakuja na gia ya "Ulisema unataka kumfanyia mama mkwe ukarabati kidogo pale nyumbani, milioni tano hiyo hapa mama fanya utakayoweza."

Unafikiri nitasemaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚?
 
Kuna mmoja nakumbuka alikuwa na heshima sana yule binti maskini ya Mungu kosa kidogo tuu atakimbilia kwao kumchukua mama yake aje muombee msamahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siku katikati ya usafi alidondosha PC akavunja kioo nashangaa jioni narudi Nakuta ugeni mzitoo badala ya kuwa na hasira Nilienda chumbani kucheka pekeanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eti ukaenda kucheka peke yako πŸ˜‚ πŸ˜‚ mwenzako kiroho juu juu.
Sasa naye alikua hakujulii, akuombaje msamaha mpaka amlete mama yake?
 
Wanajua kucheza na beat,Sasa mpenda Kula kama Mimi ukaniletee Maua nitakuelewa?πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Hata mimi napenda kula aiseee, na nikiwa na njaa napata hasira hasira tu bila sababu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…