Siyo mtu wa mpira saaana! Asante sana kwa ushauri.kama unataka hadi local channels zionekane hamia star times, ila kama ni mtu wa mpira DSTV itapendeza.
Duh umetisha yaani Zanzibar tu hapo wanacheki local kwenye Azam Decoda.!Nunua Azam, Decoda toka Zanzibar,Comoro,Uganda,Rwanda, unaangalia channel za local zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unazungumzia Yale maungo makubwa ya kitambo.. EtyUsipoteze muda wala pesa yako rudi kwenye madish ya zamani yale,mi ndo narudi huko,free channel kibao!
Sitaki tena haya mambo ya ving'amuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli huo nao ni ujanja, hayo madish ya ft 6 tulipata raha mno hayana kelele na mtu. Hv ving'amuzi ni shida tupu.Mkuu, unazungumzia Yale maungo makubwa ya kitambo.. Ety
lawama yote kwa serikali....
Hapana serikali iko sahihi kabisa kwani sheria inasema TV zilizosajiriwa nchini zenye leseni ya kitaifa ni free kwanini watuuzie?lawama yote kwa serikali....
maana saiv watoto wanakuwa kwa maadili ya kenya..inshort tunafatilia ya kenya kuanzia habari na michezo ya maigizo.
madhara baada miaka kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua azam ikoje ilaa me star times loval channels bure wapo poa sana.. Hawakatiki katiki hewani kabisa... Kama ni dishi hadi channel zizingue bhasi hali ya hewa ni ya mvuaa kalii..