By elmagnifico :hebu kama umepita shule yatafakari maswalihaya kwa makini ikisha jiulize je, ni kwelinigeria kuna wasichana zaidi ya 230waliotekwa na boko haram?Kutoka kwa aremu oluwatimilehin peter:Got this from a post. 11 mysteries of themissing girls.1. Where are the parents of these missinggirls, we want to see them? (wole soyinka)."wako wapi wazazi wa hao wasichanawaliotekwa, tunataka tuwaone?" [kama kunawasichana waliotekwa ni lazimawangelijitokeza wazazi wa wasichana hao]2. Why has the government not publishedpictures of these girls? (wole soyinka)"kwanini mpaka leo serikali haijatoa picha zawasichana hao?" [hivi wasichana haowameingia chuoni bila ya kuacha kumbukumbuyeyote?]3. You need a lot of vehicles to transport 230girls, (godswill akpabio)."unahitaji magari ya kutosha kusafirishawanawake 230"4. How where they transported? If the girlswere made to walk in the bush track, how comeno villager saw them? (godswill akpabio)"wamesafirishwa vipi? Ikiwa wasichanawametembezwa njia za misituni, inakuajewanavijiji wasiwaone?"5. The girls were said to have been transportedin trucks (hilux), assuming 10girls per truck,that means we'll need about 23trucks for thegirls and about 7 trucks for the insurgents.(me)"wanadai wasichana hao wamesafirishwa kwamagari ya aina ya hilux, jaalia kwa wingi kilagari halitozidi watu kumi! Ambayo kwawasichana 230 watahitaji magari 23kuwasafirishia, na magari 7 ya watekajinyara" [hivi upo uwezekano wa magari 30(23+7) kutembea ndani y nigeria bila yakuonekana msafara wao na mtu yeyote mpakaleo?]6. Why were the principal's daughters andfemale staffers not touched? (godwill akpabio)"kwanini watoto wa mkuu wa chuo nawafanyakazi wote wa kike hawakuguswa hatammoja" [je! Hawakuwa na umuhimu?]7. What was the principals reaction when thiswas going on? (godswill akpabio)8. Some girls were said to have escaped, andnot a single child was shot, we all know thathas not been the practice in the past. Wherethey freed or did they escape. (godswillakpabio)9. We were told that the state governmentgave n1m each to the parents of the girls,what was this money for? (online media)10. Almost all the things suggested in themedia are the things b/haram is now saying.(g/will akpabio)11.a news agency said that the girls have beensold for n2000 each, and a few days later, themain man appears and threatens to sell thegirls, are we the ones suggesting what heshould do? (g/will akpabio).... Any answer to prove that these girls arereallymissing?.........kuna jibu lolote la kuthibitisha kuwa nikweli hawa wanawake wamepotea(wametekwa)?