Boko Haram ina wafuasi wengi katika Jeshi la Naijeria......wakipewa amri kuwakamata hawatekelezi
By elmagnifico :
hebu kama umepita shule yatafakari maswali
haya kwa makini ikisha jiulize je, ni kweli
nigeria kuna wasichana zaidi ya 230
waliotekwa na boko haram?
Kutoka kwa aremu oluwatimilehin peter:
Got this from a post. 11 mysteries of the
missing girls.
1. Where are the parents of these missing
girls, we want to see them? (wole soyinka).
"wako wapi wazazi wa hao wasichana
waliotekwa, tunataka tuwaone?" [kama kuna
wasichana waliotekwa ni lazima
wangelijitokeza wazazi wa wasichana hao]
2. Why has the government not published
pictures of these girls? (wole soyinka)
"kwanini mpaka leo serikali haijatoa picha za
wasichana hao?" [hivi wasichana hao
wameingia chuoni bila ya kuacha kumbukumbu
yeyote?]
3. You need a lot of vehicles to transport 230
girls, (godswill akpabio).
"unahitaji magari ya kutosha kusafirisha
wanawake 230"
4. How where they transported? If the girls
were made to walk in the bush track, how come
no villager saw them? (godswill akpabio)
"wamesafirishwa vipi? Ikiwa wasichana
wametembezwa njia za misituni, inakuaje
wanavijiji wasiwaone?"
5. The girls were said to have been transported
in trucks (hilux), assuming 10girls per truck,
that means we'll need about 23trucks for the
girls and about 7 trucks for the insurgents.
(me)
"wanadai wasichana hao wamesafirishwa kwa
magari ya aina ya hilux, jaalia kwa wingi kila
gari halitozidi watu kumi! Ambayo kwa
wasichana 230 watahitaji magari 23
kuwasafirishia, na magari 7 ya watekaji
nyara" [hivi upo uwezekano wa magari 30
(23+7) kutembea ndani y nigeria bila ya
kuonekana msafara wao na mtu yeyote mpaka
leo?]
6. Why were the principal's daughters and
female staffers not touched? (godwill akpabio)
"kwanini watoto wa mkuu wa chuo na
wafanyakazi wote wa kike hawakuguswa hata
mmoja" [je! Hawakuwa na umuhimu?]
7. What was the principals reaction when this
was going on? (godswill akpabio)
8. Some girls were said to have escaped, and
not a single child was shot, we all know that
has not been the practice in the past. Where
they freed or did they escape. (godswill
akpabio)
9. We were told that the state government
gave n1m each to the parents of the girls,
what was this money for? (online media)
10. Almost all the things suggested in the
media are the things b/haram is now saying.
(g/will akpabio)
11.a news agency said that the girls have been
sold for n2000 each, and a few days later, the
main man appears and threatens to sell the
girls, are we the ones suggesting what he
should do? (g/will akpabio)
.... Any answer to prove that these girls are
really
missing?
.........kuna jibu lolote la kuthibitisha kuwa ni
kweli hawa wanawake wamepotea
(wametekwa)?