NIGERIA: Watu 60 wauawa katika shambulio la ISWAP

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,878
Wanajesho 20 na wananchi 40 wameuawa na wengine wengi wakijeruhiwa na wapiganaji wa Islamic State West Africa Province, ISWAP katika jimbo la Borno

Wapiganaji hao pia wamechoma Ofisi za Umoja wa Mataifa, UN, na walichoma kituo cha pilisi.Wapiganaji hao waligawa barua zenye ujumbe wa kuwaonya kushirikiana na jeshi au taasisi za misaada ya kimataifa

Hadi hivi sasa Boko Haram na ISWAP wameshaua maelfu na kuwajeruhi mamilioni ya watu katika maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

====

At least 20 soldiers and more than 40 civilians have been killed, and hundreds have been injured in twin attacks in northeast Nigeria's Borno state on Saturday, residents and a civilian task force fighter said.

The attacks, in the Monguno and Nganzai local government areas, came just days after armed fighters killed at least 81 people in a raid on a village in a third area, Gubio.

Two humanitarian workers and three residents told Reuters that armed fighters with heavy weaponry including rocket launchers arrived in Monguno, a hub for international non-governmental organisations, at roughly 11am local time (10:00 GMT).

The fighters then overran government forces, taking some casualties but killing at least 20 soldiers and roaming the area for three hours.
The sources said hundreds of civilians were injured in the crossfire, overwhelming the local hospital and forcing some of the injured to lay outside the facility awaiting help.

The fighters also burned down the United Nations' humanitarian hub in the area and set on fire the local police station. Fighters distributed letters to residents, in the local Hausa language, warning them not to work with the military or international aid groups.

Fighters also entered Nganzai at about the same time on Saturday, according to two residents and one Civilian Joint Task Force (CJTF) fighter. They arrived on motorcycles and in pick-up trucks and killed more than 40 residents, the sources said.

A military spokesman did not answer calls for comment on the attacks. UN officials could not immediately be reached for comment.
Boko Haram and its offshoot, Islamic State West Africa Province (ISWAP), have killed thousands and displaced millions in northeastern Nigeria.
ISWAP claimed the two Saturday attacks, and the Gubio attack.

SOURCE: Reuters news agency
 
Hawa jamaa wanapata wapi silaha za kutenda unyama na kuendeleza ugaidi?

Hawa wahuni wa huko Msumbiji wasipodhibitiwa haraka watageuka virusi kama hao wahuni wenzao wa huko Nigeria.
 
Jeshi la Nigeria mojawapo ya majeshi dhaifu kabisa duniani. Intelligence ya hovyo pia.
Miaka mingi ya ufisadi na rushwa kwenye hizo taasisi za usalama zimedhoofisha uwezo wa hizo taasisi kutekeleza majukumu yake ipasavyo na kuua ari ya kujituma/kizalendo ya watumishi wake.

Bila kusahau uhaba wa mafunzo,silaha duni(japo wana bajeti kubwa), Upendeleo ndani ya taasisi na mengine mengi kwa kweli bado wana safari ndefu mpaka kuyashinda hayo magenge ya magaidi.
 
Hii so called Global Jihad kamwe haitafaulu kwa sababu ni mkakati wa shetani kupambana na Mungu.

Hao mataahira wataangamizwa wote na hata hao mabikra 72 wanaodanganywa nao hawatawapata kama wameshindwa kuwapata wa hapa duniani basi wasahau.
 
Back
Top Bottom